Mimi kila ninapoamka napata mafua tena ya chafya kali ila ikifika mchana jua kali napona kabisa. Ila na wkt wa baridi pua zinaziba pia natumia dawa za hospital napona ila baada ya siku mbili yanarudi tena.
Naomba ushauri wenu wanajamii forum nitumie vitu gani vya asili ili nitoke kwy shida hii maana dawa za hospital siponi.
Naomba ushauri wenu wanajamii forum nitumie vitu gani vya asili ili nitoke kwy shida hii maana dawa za hospital siponi.