SinaUna mpenzi
Sina
Kweli ni dawa hiyo? Inamaana ambao hawana nafua wanakumbatiwa?Tafuta mpenz awe anakukumbatia ucku
Kweli ni dawa hiyo? Inamaana ambao hawana nafua wanakumbatiwa?
Ngoma hiyo mkuu. Anza dawa kabisa..Mimi kila ninapoamka napata mafua tena ya chafya kali ila ikifika mchana jua kali napona kabisa. Ila na wkt wa baridi pua zinaziba pia natumia dawa za hospital napona ila baada ya siku mbili yanarudi tena.
Naomba ushauri wenu wanajamii forum nitumie vitu gani vya asili ili nitoke kwy shida hii maana dawa za hospital siponi.
Sina
Khe! Hii tiba kibokoTafuta mpenz awe anakukumbatia ucku
Huo ndio ukweliKhe! Hii tiba kiboko
Khe! Hii tiba kiboko
Hata ngoma ina dawa zake ila mm nahitaj dawa ya mafuaNgoma hiyo mkuu. Anza dawa kabisa..
Haipo mtaaniTafuta bangi na uvute kabla haujalala
Haipo mtaani
Nashukuru sana naenda Kununua leo, sioTumia tiba ya vitunguu swaumu unavisaga unapaka kwenye nyayo
Sio anayeniambia nitumie bangiNashukuru sana naenda Kununua leo, sio
Pitia hapa pia (1) Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua - JamiiForums Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua - JamiiForumsNashukuru sana naenda Kununua leo, sio