Mafua yataniua

Mafua yataniua

Point of No Return 19

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2023
Posts
203
Reaction score
472
Mimi nikiamka jua likitoka nakua mzima had jion giza likiingia naanza kuumwa mafua usiku mzima kias hadi natumia mdomo kupata pumzi.

Hii Hali Ina mwaka huu wa 3

Mchana mzima kabisa,

Pia naomba kuuliza je feni inaweza sababisha niumwe?

Maana nalala na feni kila siku
 
Kama una mafua sioni haja ya feni
 
Back
Top Bottom