mafuaa???

mafuaa???

beibe nasty

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
1,640
Reaction score
524
jaman mi mafua yamenikaba hadi kichwa kinauma naumiia wapenz wanguu jaman sijui ntalala leo uwiiii
 
Kunywa maji ya uvuguvugu glass kubwa, kama uanayo asali weka kijiko kimoja unywe glass moja kila baada ya masaa 2
 
Wanasema eti ukiwa na mafua dawa yake eti mtafute wajina wako(beibe) eti yataisha!
 
hauko peke yako.na mimi nina mafua na kichwa kinaniuma
 
Ama ndio msimu wa mafua .mwenyewe hapa nimebanwa mafua jana nimekos ausingizi leo ndo pua zimeziba
imebidi nipate off day
Nimepata dawa lakini sioni nafuu
 
Back
Top Bottom