Jumlisha
JF-Expert Member
- Jul 10, 2022
- 1,239
- 2,765
Habarini wanaJF, binafsi sio mwandishi mzuri ila kwa hili lililonikuta na huyu fundi selemala nimeona bora niandike niombe ushauri.
Iko hivi miezi miwili nyuma mwezi September nilikuwa na mpango wa kutengeneza kabati la nguo la mbao haya ya kisasa, nikatafuta fundi nikamuonesha design nilikuwa nime-download kutoka Pinterest basi tukakubaliana bei alinambia jumla itakuwa laki tatu sikubisha.
Akasema nimpe kwanza advance laki na nusu ili aanze kazi nikampa, tulikubaliana wiki mbili itakuwa tayari lakini cha ajabu baada ya wiki kuisha akawa ananipigia simu kuomba hela mara aniambie hii ya rangi hii ya body mambo kibao nakuja kupiga hesabu nishampa kama laki tatu na elfu sabini na mpaka muda huu sijapata kabati langu
Nafikiria kujichukulia sheria mkononi nivamie ofisi yake.