Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,767
- 54,912
Poapoa mkuuHii sojawah kuiskia, asante kwa madini
Mimi sio fundi ila fundi bomba alinielekeza kuhusu huo mfumo akanipeleka pale Nabaki Afrika tukanunua vifaa vyote.Vipi hiyo plastic ya chemba ikipigwa na jua muda mrefu haiwezi kupasuka.
Km wewe ni fundi weka namba. Au km una mjua mtaalamu wa hii kitu tupia mawasiliano yake
0658993786Mawasiliano ya huyo fundi naomba