Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,112
- 4,361
Da,hawa jamaa na wakubali kwa kulenga,maaana nikimwangilia hapa huyu mzeee jins nguo.ilivyo ndefu na hii speed aliyonayo jins anavyokata mikona mpaka anapinda kulia kushoto lakin nguo ipo sawa,big up to hawa jamaaa,sema WACHINA NDIO WAMEUA SOKO LAO.