Mafundi feniture wengi wa Mwanza si wabunifu wanazidiwa na wa Morogoro

Mafundi feniture wengi wa Mwanza si wabunifu wanazidiwa na wa Morogoro

mathsjery

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Posts
2,249
Reaction score
1,813
Nikifanya mlinganisho kati ya mafundi feniture wa Mwanza na Morogoro naona kabisa wale wa Mwanza ni zero.

Yaani mtu anatumia mninga sijui, una makovu mara brown imekoza kwingi sehemu nyingine haijakoza sasa anachonga kitanda sijui meza alafu anapiga vanish kisha anauza kitanda kina mabaka kitanda hakitelezi mh!.

Mwanza hakuna mafundi feniture.

Nenda pale mission kashuudie mimi sina picha

Otherwise wajirekebishe
 
Back
Top Bottom