Nikifanya mlinganisho kati ya mafundi feniture wa Mwanza na Morogoro naona kabisa wale wa Mwanza ni zero.
Yaani mtu anatumia mninga sijui, una makovu mara brown imekoza kwingi sehemu nyingine haijakoza sasa anachonga kitanda sijui meza alafu anapiga vanish kisha anauza kitanda kina mabaka kitanda hakitelezi mh!.
Mwanza hakuna mafundi feniture.
Nenda pale mission kashuudie mimi sina picha
Otherwise wajirekebishe