WhatsApp | +255 788 455 182
Domestic Charter Eng
Mkuu kwa uzoefu wangu japo mimi sio fundi gari ikishafanyiwa modification haiwi kama ilivyokua. Inakua tofauti sana, ushauri wangu uza ununue ya cc unazotaka na sio kufanya modificationLege
..hebu nisaidie hapa...nina premio old model cc 1800..je naweza kubadilisha injin nikafunga ya cc 1400? Idea yangu ni kupunguza unywaji wa mafuta kwa kuweka injin ndogo. Nishauri...
MKUU INAWEZEKANA na haina shida yoyte sababu egine ni ileile unachofanya ni kuiweka ya cc ndogo.badili tuu haina shida tena hapo hufanyi modification yoyote? vipi iliyopo now inakwenda kilomita ngapi kwa lita 1Mkuu kwa uzoefu wangu japo mimi sio fundi gari ikishafanyiwa modification haiwi kama ilivyokua. Inakua tofauti sana, ushauri wangu uza ununue ya cc unazotaka na sio kufanya modification
hapo hakuna modification mkuu maana nikutoa jiko bandika jikoMkuu kwa uzoefu wangu japo mimi sio fundi gari ikishafanyiwa modification haiwi kama ilivyokua. Inakua tofauti sana, ushauri wangu uza ununue ya cc unazotaka na sio kufanya modification
Kwa hiyo unataka unadhan wiring system, driving shaft, gear box A/C n.k vyote vina fit bila hata kuwa adjusted/ modified?hapo hakuna modification mkuu maana nikutoa jiko bandika jiko
ndio mkuu sababu kuna engine huwa zinakuwa za aina moja but cc tofauti.hivyo hakuna modification hapo mkuuKwa hiyo unataka unadhan wiring system, driving shaft, gear box A/C n.k vyote vina fit bila hata kuwa adjusted/ modified?
tafsiri yake anakua hajapunguza ulaji wa mafuta. Umeongea kitu kizito sana ndo yale unakanyaga sana mafuta rpm inapanda af gari iko pale pale. Naungana mkono na Lege uza nunua linalokufaa coz hukufanya tathmini ya nguvu yako kabla hujanunua sasa ndo umejielewakuna kitu knaitwa power to weight ratio unaweza weka injin ndogo stil tatizo lkawa vle vle coz injin yako itarun at higher rpm for the same speed
Simple minya mafuta kuna kisehemu cha ku adjust....kwa injection hali kadhalika na carburatorLege
..hebu nisaidie hapa...nina premio old model cc 1800..je naweza kubadilisha injin nikafunga ya cc 1400? Idea yangu ni kupunguza unywaji wa mafuta kwa kuweka injin ndogo. Nishauri...
Hiyo inazuia mafuta yaende macheche mwanzo tu was kuiwasha engine.Na hii husababisha hewa iwe nyingi kuliko mafuta na mafuta kuwa kidogo.Lakini baada ya combustion yakwanza kufanyika na engine kuwaka mafuta yataendelea kama kawaida kulingana na matumizi.Simple minya mafuta kuna kisehemu cha ku adjust....kwa injection hali kadhalika na carburator