Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Tukiacha siasa huku tupo pamoja, kweli leo wanazingua sana sauti hakuna.Nimefuatilia TV yao kwenye matukio makubwa mengi ambayo Mtumishi huyo anayafanya , kiukweli kiwango chao ni duni kuliko TV yoyote ya Kidini iliyopo hewani .
Kwa mfano hii VUKA NA CHAKO ya leo dk 10 hewani saa nzima kimya , hii si mara ya kwanza kwa TV yao kuwa na mambo haya , kuna haja ya kulifanyia kazi jambo hili ambalo ni tatizo sugu la Arise and Shine la miaka mingi mno !
jambo hili linaleta aibu sana , hii ni kwa sababu wanaofuatilia kwenye TV ni wengi kuliko wanaokuwa Kawe .
Lengo la kuleta uzi huu ni kumkumbusha Mwamposa kwamba shida hii si ndogo na asiichukulie poa
Umeibiwa bei gani ?Arise and shine ndo ya huyu janja janja mwamposa anayetuibia sadaka?
Laki na nusu kumuona nabiiUmeibiwa bei gani ?
Weka ushahidiLaki na nusu kumuona nabii
Tapeli tu hilo kama Gwajiboy na wajasiriadini wengineWeka ushahidi
HayaTapeli tu hilo kama Gwajiboy na wajasiriadini wengine
NaamMzee wa vuka na chako😁😂
DaaaaahMkiambiwa mtoe sadaka majifanya wajuaji,ila mitambo ikiwa mibovu mnalaumu,uboreshaji wa mitambo ni pesa toeni sadaka scheni unafiki