Hii Generator Controller. hii inatumika kuwasha na kuzima Generator. pia inatumika kulinda Engine kwa kusoma Oil pressure, Water Temperature (joto la Engine). Pia inatumika kusoma kiwango cha umeme kinachozalisha na Kinu pia hata % za matumizi ya umeme.