Mafundi naomba jina na bei ya hili

Mafundi naomba jina na bei ya hili

Liamstrong

New Member
Joined
Mar 23, 2021
Posts
1
Reaction score
0
Naomba kujua jina lake na linauzwaje

IMG_20210410_133026_783.jpg
 
Pole kwa majibu mengi.
Na UVIMO tunaongeza ya kwetu.

Rola inauzwa kati ya 80,000-90,000
Mita 1@5,000-8,000
Rola ina mita 20 =futi 60

Kwa mawasiliano na UVIMO
0753927572 - wasap
0629361896 - Kupiga
0713665510 - Kupiga
 
Pole kwa majibu mengi.
Na UVIMO tunaongeza ya kwetu.

Inaitwa DPC
Rola inauzwa kati ya 80,000-90,000
Mita 1@5,000-8,000
Rola ina mita 20 =futi 60

Asante

Ulikosea nini ukala BAN kwa ile ID nyingine?

Naomba kuuliza kidogo, hivi skimming nyumba kwa ndani vema kutumia powder au white cement?
 
Back
Top Bottom