mwalukuni mchanyato
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 404
- 230
mahindra ziko gudi sana mkuu, ni boxer like maana zote ni product za mhindi.....ila mahindra nyingi ni 125 while boxer ni 150Ndugu zangu.Nimependezewa na hicho chombo Mahindra centuro .Je,ni Pikipiki nzuri kiubora na kunusa mafuta?
Mwenye kuijua Naomba atwambie maana nahitaji kununua nimezikuta mahali zikanivutia kimuonekano wa nje.View attachment 502762
Kwa hiyo boxer ipo juu zaidi kiuwezo.mahindra ziko gudi sana mkuu, ni boxer like maana zote ni product za mhindi.....ila mahindra nyingi ni 125 while boxer ni 150
Dawa mkuu.JARIBU MKUU , ila boxer matoleo ya hivi sasa wanauza jina si pikipiki imara. ama pia spare zake ni ghali mno utafikiri unanunua spare ya gari.
Na mm nazitafuta zinauzwaje?
Kwa hiyo boxer ipo juu zaidi kiuwezo.