Mafundi niliwaamini ila imeniangusha asee

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
Juzi kati kwenye posts zangu za nyuma niliezea ni namna gani mafundi wanatuibia tunapoamua kujenga nikawa na hofu japo nilipokewa comments mbalimbali kama sio wote

Ila jana kwenye sehemu fulani ya ujenzi naona mafundi wanaiba nondo na mifuko ya cements pamoja na waya za umeme

Kwanini mnatufanyia hivyo wazee sisi wenyewe tunajenga kwa kuunga unga tu ila bado mnatupiga kweli mmeniangusha mafundi
 
Kumbe ushapata mtaji mkuu...😳
 
Sio mafundi tu,hii nchi au niseme Afrika nzima, uaminifu ni kama dhambi.
Ukiwa muaminifu jamii inakuona mjinga,bwege na zezeta asiyejitambua.
Halafu ukiwa mwizi,fisadi na mla rushwa jamii inakuona wewe ni mjanja sana,mtoto wa mjini unayejua kujiongeza.
What a wretched society!
 
Juzi kati kwenye posts zangu za nyuma niliezea ni namna gani mafundi wanatuibia tunapoamua kujenga nikawa na hofu japo nilipokewa comments mbalimbali kama sio wote

Ila jana kwenye sehemu fulani ya ujenzi naona mafundi wanaiba nondo na mifuko ya cements pamoja na waya za umeme

Kwanini mnatufanyia hivyo wazee sisi wenyewe tunajenga kwa kuunga unga tu ila bado mnatupiga kweli mmeniangusha mafundi
Tatizo la mafundi wanaendekeza sana njaa. Mi walitaka kunibadilishia koleo. Mmoja anamwambia mwenzake hilo koleo ni zuri mbadilishie, mwenzie akamjibu la kwake analijua.
Yaani usipokaa vizuri wanaiba hadi misumari
 
Mkuu nyuzi zako zote zimekaa kimalalamiko tu ,kwanini lakin😁
Huyu ni kati ya wale ambao hakuna zuri hata moja linaloendelea maishani mwao; na ni full kulalamika hata kwa mambo waliyo na control nayo. Huwa wanadhani kwamba maisha yao ni jukumu la watu wengine kumbe ni kinyume chake.

Fundi anaiba. Dereva anaiba. Waziri anaiba. Mnikūlū anaiba. Polisi anaiba. Mtoto nyumbani anaiba. Profesa anaiba. Ombaomba anaiba. Jamii yote ni wezi. Utamlaumu nani katika jamii ya aina hii ambapo kila mtu anatafuta mwanya apige?

Badala ya kulalamika focus on things you can control. Kuna mambo unaweza kufanya ili kupunguza au kuzuia kabisa fundi asikuibie. Huko ndiko anapaswa kuelekeza nguvu zake badala ya kulalamikia mafundi; au elimu ambayo anailaumu kuwa haijamsaidia katika nyuzi zaidi ya tano huko nyuma.

Life ain't easy!

Life ain't for sissies!

...and nobody cares! 🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️
 
Wewe jamaa post zako unalalamika tu....ina huoni jema hata moja huko mtaani kwako! Kila siku unakuja na mada za kuibiwa tu! Mbona serikali yako inaibiwa kila siku husemi! Unazingua mzee
 
Huyu ni kati ya wale ambao hakuna zuri hata moja linaloendelea maishani mwao; na ni full kulalamika hata kwa mambo waliyo na control nayo. Huwa wanadhani kwamba maisha yao ni jukumu la watu wengine kumbe ni kinyume chake.

Fundi anaiba. Dereva anaiba. Waziri anaiba. Rais anaiba. Polisi anaiba. Mtoto nyumbani anaiba. Profesa anaiba. Ombaomba anaiba. Jamii yote ni wezi. Utamlaumu nani katika jamii ya aina hii ambapo kila mtu anatafuta mwanya apige?

Badala ya kulalamika focus on things you can control. Kuna mambo unaweza kufanya ili kupunguza au kuzuia kabisa fundi asikuibie. Huko ndiko anapaswa kuelekeza nguvu zake badala ya kulalamikia mafundi; au elimu ambayo anailaumu kuwa haijamsaidia katika nyuzi zaidi ya tano huko nyuma.

Life ain't easy!

Life ain't for sissies!

...and nobody cares! 🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️
commentless. Wewe ni aina ya watu waliosoma lakini hawajaelimika ndio aina ya watu mnaolazimisha kila mtu awasikilize wakati huna cha maana chochote unachokitoa unatoa pumba tu. Kwa kifupi wewe ni mshamba tu
 
Huyu ni kati ya wale ambao hakuna zuri hata moja linaloendelea maishani mwao; na ni full kulalamika hata kwa mambo waliyo na control nayo. Huwa wanadhani kwamba maisha yao ni jukumu la watu wengine kumbe ni kinyume chake.

Fundi anaiba. Dereva anaiba. Waziri anaiba. Rais anaiba. Polisi anaiba. Mtoto nyumbani anaiba. Profesa anaiba. Ombaomba anaiba. Jamii yote ni wezi. Utamlaumu nani katika jamii ya aina hii ambapo kila mtu anatafuta mwanya apige?

Badala ya kulalamika focus on things you can control. Kuna mambo unaweza kufanya ili kupunguza au kuzuia kabisa fundi asikuibie. Huko ndiko anapaswa kuelekeza nguvu zake badala ya kulalamikia mafundi; au elimu ambayo anailaumu kuwa haijamsaidia katika nyuzi zaidi ya tano huko nyuma.

Life ain't easy!

Life ain't for sissies!

...and nobody cares! 🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️
wewe ni limbukeni lililosoma
 
Back
Top Bottom