Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Kumbe ushapata mtaji mkuu...๐ณJuzi kati kwenye posts zangu za nyuma niliezea ni namna gani mafundi wanatuibia tunapoamua kujenga nikawa na hofu japo nilipokewa comments mbalimbali kama sio wote
Ila jana kwenye sehemu fulani ya ujenzi naona mafundi wanaiba nondo na mifuko ya cements pamoja na waya za umeme
Kwanini mnatufanyia hivyo wazee sisi wenyewe tunajenga kwa kuunga unga tu ila bado mnatupiga kweli mmeniangusha mafundi
Kwanza nimemuona kwenye uzi flani dakika chache zilizo pita anaomba Jf wamconsider kwenye SOC ili apate mtaji..๐Mkuu nyuzi zako zote zimekaa kimalalamiko tu ,kwanini lakin๐
Nyanda haeleweki , asimame kwenye jambo moja kwanza mpka lipate ufumbuzi.Kwanza nimemuona kwenye uzi flani dakika chache zilizo pita anaomba Jf wamconsider kwenye SOC ili apate mtaji..๐
Tatizo la mafundi wanaendekeza sana njaa. Mi walitaka kunibadilishia koleo. Mmoja anamwambia mwenzake hilo koleo ni zuri mbadilishie, mwenzie akamjibu la kwake analijua.Juzi kati kwenye posts zangu za nyuma niliezea ni namna gani mafundi wanatuibia tunapoamua kujenga nikawa na hofu japo nilipokewa comments mbalimbali kama sio wote
Ila jana kwenye sehemu fulani ya ujenzi naona mafundi wanaiba nondo na mifuko ya cements pamoja na waya za umeme
Kwanini mnatufanyia hivyo wazee sisi wenyewe tunajenga kwa kuunga unga tu ila bado mnatupiga kweli mmeniangusha mafundi
Huyu ni kati ya wale ambao hakuna zuri hata moja linaloendelea maishani mwao; na ni full kulalamika hata kwa mambo waliyo na control nayo. Huwa wanadhani kwamba maisha yao ni jukumu la watu wengine kumbe ni kinyume chake.Mkuu nyuzi zako zote zimekaa kimalalamiko tu ,kwanini lakin๐
Atakua na gubu sanaMkuu nyuzi zako zote zimekaa kimalalamiko tu ,kwanini lakin๐
commentless. Wewe ni aina ya watu waliosoma lakini hawajaelimika ndio aina ya watu mnaolazimisha kila mtu awasikilize wakati huna cha maana chochote unachokitoa unatoa pumba tu. Kwa kifupi wewe ni mshamba tuHuyu ni kati ya wale ambao hakuna zuri hata moja linaloendelea maishani mwao; na ni full kulalamika hata kwa mambo waliyo na control nayo. Huwa wanadhani kwamba maisha yao ni jukumu la watu wengine kumbe ni kinyume chake.
Fundi anaiba. Dereva anaiba. Waziri anaiba. Rais anaiba. Polisi anaiba. Mtoto nyumbani anaiba. Profesa anaiba. Ombaomba anaiba. Jamii yote ni wezi. Utamlaumu nani katika jamii ya aina hii ambapo kila mtu anatafuta mwanya apige?
Badala ya kulalamika focus on things you can control. Kuna mambo unaweza kufanya ili kupunguza au kuzuia kabisa fundi asikuibie. Huko ndiko anapaswa kuelekeza nguvu zake badala ya kulalamikia mafundi; au elimu ambayo anailaumu kuwa haijamsaidia katika nyuzi zaidi ya tano huko nyuma.
Life ain't easy!
Life ain't for sissies!
...and nobody cares! ๐ถ๐ฟโโ๏ธ๐ถ๐ฟโโ๏ธ๐ถ๐ฟโโ๏ธ
wewe ni limbukeni lililosomaHuyu ni kati ya wale ambao hakuna zuri hata moja linaloendelea maishani mwao; na ni full kulalamika hata kwa mambo waliyo na control nayo. Huwa wanadhani kwamba maisha yao ni jukumu la watu wengine kumbe ni kinyume chake.