Hapo inategemea na msingi.. ila kwa standard ya msingi bora + urefu wa nyumba + ngazi mbele na nyuma na shimo la maji taka n.k hapo ni
Bati 80 inategemea na uezekaj ila hazizid 100
Tofari 3000
Mbao andaa 4 by 2 120
2 by 2 90
8 by 1. 10
Cemnet ful mkanda juu na chini mpaka mjengo unaishia kwa maana ya kupanga tofari ni mifuko 40.
Nondo 30.
Makoro koro mengine ni kama 2M tu
(Mchanga, kokoto, kukodi vitu, mbao za rental, mesh wire sijuh nin mazaga kibao hapo)