Mafundi photocopy machine piti hapa

Mafundi photocopy machine piti hapa

Mechanic 97

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2021
Posts
854
Reaction score
1,296
Wakuu kotokana na kuishi Kwangu mtaani hapa nikiwa na solve matatizo madogomadogo ya husuyo simu na umeme sasa jana nimepita sehemu ni mepewa hili nimejitahidi kulikimbia Kwa kua vifaa muhimu Mimi Sina Leo tena kanimumbusha. Nimeona nisikimbie kizemba niombe hata huku. Tatizo ni hili PHOTOCOPY MACHINE INATOA MISTARI INAPOTOA COPY HIVYO MSAADA WENU PLEASE
 
Haya madude huwa naona yakiwa spanner mkononi kila siku[emoji16][emoji16][emoji16]
 
wakuu nina mashine aina ya RICOH MP 2501 SP , napataje free drivers ili nitumie kama printer?
 
kama vipi nunua "drum" weka mpya tu...tatizo kwisha hapo.
 
Back
Top Bottom