Mechanic 97
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 854
- 1,296
Nipo Makambako machine ni IR2100 japo kwenye number Sina uhakikaMachine aina gani na uko wapi
Hicho nakipatajeTatizo ni opc zimeisha badili opc tu shida inaisha
Inaelekea ya shida sanaHaya madude huwa naona yakiwa spanner mkononi kila siku[emoji16][emoji16][emoji16]
mkuu inanihusu mimi hii?kama vipi nunua "drum" weka mpya tu...tatizo kwisha hapo.
nunua hiyo badili tatizo litakuwa limekwisha...zamani nilikuwa nanunua 45 kama sijasahaumkuu inanihusu mimi hii?
MKUU unamaana nikiweka drum mpya itakubali ku-connect??nunua hiyo badili tatizo litakuwa limekwisha...zamani nilikuwa nanunua 45 kama sijasahau
ndio, mistari haitatokea tenaMKUU unamaana nikiweka drum mpya itakubali ku-connect??
Mkuu simaanishi mistari, ni kwamba nashindwa ku connecto pc na photocopy ili ni printndio, mistari haitatokea tena
angalia driver za printer kama ume install vizuri kwenye pc,Mkuu simaanishi mistari, ni kwamba nashindwa ku connecto pc na photocopy ili ni print
ulinuanua mpya? cd yake iko wapi?wakuu nina mashine aina ya RICOH MP 2501 SP , napataje free drivers ili nitumie kama printer?
ni mtumbaulinuanua mpya? cd yake iko wapi?