Mafundi pikipiki mwaweza geuza pikipiki kuwa Pickup

Mafundi pikipiki mwaweza geuza pikipiki kuwa Pickup

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
PIkipiki yaweza pakia watu wengi na mizigo mingi unachotakiwa ni kutengeneza sehemu ya kubebea mizigo kushoto na kulia chini kwenye pikipiki halafu abiria wakaa juu hadi 10.

 
Toyo sasa nazo zitafanya kazi gani

Ova
 
Hilo Gurudumu la nyuma linahimili kweli au ukifikisha Spidi fulani linapasuka
 
Back
Top Bottom