YEHODAYA JF-Expert Member Joined Aug 9, 2015 Posts 36,902 Reaction score 52,001 May 6, 2021 #1 PIkipiki yaweza pakia watu wengi na mizigo mingi unachotakiwa ni kutengeneza sehemu ya kubebea mizigo kushoto na kulia chini kwenye pikipiki halafu abiria wakaa juu hadi 10.
PIkipiki yaweza pakia watu wengi na mizigo mingi unachotakiwa ni kutengeneza sehemu ya kubebea mizigo kushoto na kulia chini kwenye pikipiki halafu abiria wakaa juu hadi 10.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 May 6, 2021 #2 Toyo sasa nazo zitafanya kazi gani Ova
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 May 6, 2021 #3 Hilo Gurudumu la nyuma linahimili kweli au ukifikisha Spidi fulani linapasuka