Mafundi simu msaada! Nahitaji kununua kifaa cha kutambua matatizo ya simu.

Mafundi simu msaada! Nahitaji kununua kifaa cha kutambua matatizo ya simu.

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,023
Nimeona mafundi wengi wanatumia multimeter kutambua matatizo ya simu.
Nauliza hakuna uwezekano wa kutumia kifaa maalumu,km wanavyofanya madaktari kwa mgonjwa (CT scanning)
Naomba ufafanuzi wa kitaalamu km kipo wanauzaje?
 
Mkuu.kwenye simu Zipo software kwa kila aina ya simu ambayo inakuja na Test Point cable ambayo inakuonyesha ubovu at component level.Kwenye circuit niliyoiambatanisha hapa test points ni vidot vya duara ,kwa sasa simu nyingi pale unapoweka sim cards pia utaziona.kila test point utapata voltage au wave signal maalum kama itakosekana system itakuambia ucheck test point ya pili then itakujulisha ni component ipi imekufa na inahitaji replacement.ukiwa nayo kwa siku inaweza repair simu zaidi ya 100.Vifaa vyote vya electronics Laptop TVs,Simu, vina test point za kusaidia kuvitengeneza pale vinavyoharibika.
Mobile-Phone-Repairing.jpg
images (8).jpeg
 
Back
Top Bottom