Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,368
- 1,325
Wakuu habar za uzima najua tupo kwenye pilika pilika kwa ajili ya maandalizi ya sikukuu. Nilikua naombeni msaada wa kisheria kwenye ufundi simu upande wa software je kuremove password kwenye simu ni kosa kisheria?
Na kipi ukifanya ni kosa na kipi so kosa wakuu. Ngoja niwape kisa kilichonitokea jana mpaka nikaja kuomba msaada huku. Jumapili alikuja mama mmoja hapa kitengo nakopatia riziki akidai wajukuu zake wamechezea simu yake wakaeka password bila kujua so alikua anataka huduma ya kuremove password ukumbuke ni mama mtu mzima kabisa kimuonekano ana miaka 50 na ushee hivi simu ilikua samsung a10s nikafanya kazi kwa makubaliano ya tsh.20000.
Sasa jana akaja na askari wakiwa wamevaa kiraia askari akananiambia huyo mama ameiba hiyo simu na tv alimuibia kipofu walikubaliana wakarushe roho baada ya kumaliza kunjunjana huyo mama akatumia udhaifu wa jamaa kwa kuwa haoni ndio akampiga hizo zaga. mimi nikamuliza kafande kwani kutoa password nikosa akaniambia ni kosa.
Tukaenda central pale sikuingizwa mahabusu nikamkatia kapesa ka ku brash viatu akaniachia. Sasa wakuu kale kapesa niliko mpa nilikua nimekaweka kwa ajili ya sikukuu kananiuma roho ndio nikaona nije hapa nipat maarifa next time ikitokea tena iwe rahisi kutatua bila kutoka pesa.