Mafundi simu msaada

Mafundi simu msaada

Wilhelm Johnny

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2016
Posts
1,368
Reaction score
1,325
Wakuu mimi ni fundi simu katika kuimarisha huduma nazotoa nimeamua kununua ultrasonic cleaner kwa ajili ya kusafisha saketi zilizoingia maji nilikua naombaa msaada wa zile liquid za kusafishia na zinapatikana wap niko dodoma
 
Wakuu mimi ni fundi simu katika kuimarisha huduma nazotoa nimeamua kununua ultrasonic cleaner kwa ajili ya kusafisha saketi zilizoingia maji nilikua naombaa msaada wa zile chemical za kusafishia na zinapatikana wap niko dodoma
Nichecki in box mkuu
 
Sasa inbox ya nini? Si umpe maelekezo hapa hapa .. usimuibie tu huko maana jamaa anaonekana fundi kweli na anahitaji msaada kweli.. muweka TOPIC kuwa makini chalii yangu
sawa mkuu changamoto ya ufundi simu bhana ni vifaa vingi vya kisasa bongo hakuna tunaishia kufanya ufundi kwa kubashiri kama waganga wa kienyeji
 
Niliwahi piga fundi sm baada ya kushindwa kufungua sm yangu motorola verizon version ya USA...badala yake akavunja bongo mafundi badoo sn weng kanjanja ...hongera mtoa post unaonekana utafika mbali sana advice yangu kuwa mwaminifu
 
Wakuu mimi ni fundi simu katika kuimarisha huduma nazotoa nimeamua kununua ultrasonic cleaner kwa ajili ya kusafisha saketi zilizoingia maji nilikua naombaa msaada wa zile liquid za kusafishia na zinapatikana wap niko dodoma
wenzako kwanzo wananusa halafu anakwambia hii simu imepga shoti anakutajia hela ya ufundi ukisepa anachukua mafuta ya ndege sijui anaanza kusafisha kisha anapuliza na lile dude sijui linaitwa brower akimaliza akiwasha saingine inakubali [emoji23] bongo mafundi simu janjajanja tu
 
Mafuta hayo yanaitwa benziny upatikana maduka ya kuuza spea za simu.
 
Cheki Barabara ya 6 , Ukikosa jaribu Majengo ila Barabara ya 6 ndiyo kuna maduka duka ya vifaa na spea za simu.
 
wenzako kwanzo wananusa halafu anakwambia hii simu imepga shoti anakutajia hela ya ufundi ukisepa anachukua mafuta ya ndege sijui anaanza kusafisha kisha anapuliza na lile dude sijui linaitwa brower akimaliza akiwasha saingine inakubali [emoji23] bongo mafundi simu janjajanja tu
hahahaha kabisa mkuu
 
Mafuta hayo yanaitwa benziny upatikana maduka ya kuuza spea za simu.
nikiangalia youtube naona wazungu wanachanganya liquid aina mbili benzine na nyingine nzito kidogo inafanya rangi kama maziwa hiv
 
Back
Top Bottom