Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,368
- 1,325
Nichecki in box mkuuWakuu mimi ni fundi simu katika kuimarisha huduma nazotoa nimeamua kununua ultrasonic cleaner kwa ajili ya kusafisha saketi zilizoingia maji nilikua naombaa msaada wa zile chemical za kusafishia na zinapatikana wap niko dodoma
Nichecki in box mkuu
hiyo hiyo mkuuSaketi kama circuit.
sawa mkuu changamoto ya ufundi simu bhana ni vifaa vingi vya kisasa bongo hakuna tunaishia kufanya ufundi kwa kubashiri kama waganga wa kienyejiSasa inbox ya nini? Si umpe maelekezo hapa hapa .. usimuibie tu huko maana jamaa anaonekana fundi kweli na anahitaji msaada kweli.. muweka TOPIC kuwa makini chalii yangu
wenzako kwanzo wananusa halafu anakwambia hii simu imepga shoti anakutajia hela ya ufundi ukisepa anachukua mafuta ya ndege sijui anaanza kusafisha kisha anapuliza na lile dude sijui linaitwa brower akimaliza akiwasha saingine inakubali [emoji23] bongo mafundi simu janjajanja tuWakuu mimi ni fundi simu katika kuimarisha huduma nazotoa nimeamua kununua ultrasonic cleaner kwa ajili ya kusafisha saketi zilizoingia maji nilikua naombaa msaada wa zile liquid za kusafishia na zinapatikana wap niko dodoma
hahahaha kabisa mkuuwenzako kwanzo wananusa halafu anakwambia hii simu imepga shoti anakutajia hela ya ufundi ukisepa anachukua mafuta ya ndege sijui anaanza kusafisha kisha anapuliza na lile dude sijui linaitwa brower akimaliza akiwasha saingine inakubali [emoji23] bongo mafundi simu janjajanja tu
nikiangalia youtube naona wazungu wanachanganya liquid aina mbili benzine na nyingine nzito kidogo inafanya rangi kama maziwa hivMafuta hayo yanaitwa benziny upatikana maduka ya kuuza spea za simu.