Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,368
- 1,325
Mkuu mimi nataka kuflash opp a37 naomba msaada wa Qualcomm driverWakuu mimi natumia Boksi ya UFI kwa kweli pamoja na sifa mbovu za hili boksi nimefanikiwa kufufua simu kadhaa na kuua simu 2 nikijaribu kutoa MDM nikiwa najifunza na kuamsha simu zilizokufa animefanikiwa chache tena zile brand kubwa kwa kuwa sina wateja wengi tatizo ni kwa hizi simu zetu tecno, Itel, Infinix hizi emmc dump file zake ni chache sana mtandaoni ukizingatia dump file nyingi tunategemea wahindi watuekee ila kwa hizi simu zinazotumika kwenye hii dunia ya 3 ni mbinde kupata. So nilikua naomba msaada kwa anayejua machimbo tusaidiane link au mbinu mbadala
Uko wapMkuu mimi nataka kuflash opp a37 naomba msaada wa Qualcomm driver
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Hilo mpaka uwe na boksi mkuu tafuta mtu mwenye boksi zinazotoa kama hakuna nicheki niko DodomaMkuu mimi nataka kuflash opp a37 naomba msaada wa Qualcomm driver
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Mkuu bahati mbaya mimi huwa mvivu kuandika, ila ukitoa cpu ya mtk mt6580 kwenye simu za hao calcare hauhitaji kuwa na dump.PIA NINA DUMP FILE ZA TECNO KA7, K7 na H8 mwenye kitaka zimenyooka ni free natoa
[emoji383][emoji383][emoji383]Mkuu bahati mbaya mimi huwa mvivu kuandika, ila ukitoa cpu ya mtk mt6580 kwenye simu za hao calcare hauhitaji kuwa na dump.
Huwa natamani kutoa elimu ila linapofikia swala la kuandika nakosa cha kuandika sababu ya uvivu tu.
Mwanzo nilikuwa nina dump ila nilizifuta maana hazina msaada kwangu, kuna vitu unatakiwa kuvijua siyo kufuata mkumbo wa wahindi. Kila kampuni ya simu wana namna wanavyotengeneza simu zao cha muhimu fanya utafiti wa kina kwa kila simu.
Ukitaka kuiva kwenye tasinia hiyo tafuta material ya warusi, waarabu, na Ukraine huko siyo wajanja wajanja kama wahindi wa kutafuta viewers YouTube.
Lugha itakuwa kikwazo,japo na wahindi huwa na umama huo.Mkuu bahati mbaya mimi huwa mvivu kuandika, ila ukitoa cpu ya mtk mt6580 kwenye simu za hao calcare hauhitaji kuwa na dump.
Huwa natamani kutoa elimu ila linapofikia swala la kuandika nakosa cha kuandika sababu ya uvivu tu.
Mwanzo nilikuwa nina dump ila nilizifuta maana hazina msaada kwangu, kuna vitu unatakiwa kuvijua siyo kufuata mkumbo wa wahindi. Kila kampuni ya simu wana namna wanavyotengeneza simu zao cha muhimu fanya utafiti wa kina kwa kila simu.
Ukitaka kuiva kwenye tasinia hiyo tafuta material ya warusi, waarabu, na Ukraine huko siyo wajanja wajanja kama wahindi wa kutafuta viewers YouTube.
Kwenye forum na website zao tumia google translator. Kwenye video we angalia vitendo japo unaachwa mbali.Lugha itakuwa kikwazo,japo na wahindi huwa na umama huo.