MAFUNDI TV

MAFUNDI TV

binkiko2

Member
Joined
Mar 2, 2019
Posts
15
Reaction score
5
Tv yangu ya SONY BRAVIA imepata tatizo ghafla nikiiwasha inajizima,nahitaji fundi nipo,napatikana UBUNGO
 
Umekosea jukwaa kabisaaaaa
Pili hujaweka nyama ya kutosha..

Inamalizika kuwaka ukianza kuangalia ndio inazima au haifiki huko
 
Wewe kama ni fundi utaelewa kama sio fundi potezea
 
Back
Top Bottom