binkiko2 Member Joined Mar 2, 2019 Posts 15 Reaction score 5 Jul 8, 2023 #1 Tv yangu ya SONY BRAVIA imepata tatizo ghafla nikiiwasha inajizima,nahitaji fundi nipo,napatikana UBUNGO
Tv yangu ya SONY BRAVIA imepata tatizo ghafla nikiiwasha inajizima,nahitaji fundi nipo,napatikana UBUNGO
reyzzap JF-Expert Member Joined Oct 3, 2014 Posts 6,813 Reaction score 21,807 Jul 8, 2023 #2 Umekosea jukwaa kabisaaaaa Pili hujaweka nyama ya kutosha.. Inamalizika kuwaka ukianza kuangalia ndio inazima au haifiki huko
Umekosea jukwaa kabisaaaaa Pili hujaweka nyama ya kutosha.. Inamalizika kuwaka ukianza kuangalia ndio inazima au haifiki huko
spidernyoka JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 7,557 Reaction score 20,477 Jul 8, 2023 #3 Jaribu kuweka XXX Tentacion
binkiko2 Member Joined Mar 2, 2019 Posts 15 Reaction score 5 Jul 22, 2023 Thread starter #4 reyzzap said: Umekosea jukwaa kabisaaaaa Pili hujaweka nyama ya kutosha.. Inamalizika kuwaka ukianza kuangalia ndio inazima au haifiki huko Click to expand... reyzzap said: Umekosea jukwaa kabisaaaaa Pili hujaweka nyama ya kutosha.. Inamalizika kuwaka ukianza kuangalia ndio inazima au haifiki huko Click to expand... Wewe kama ni fundi utaelewa kama sio fundi potezea
reyzzap said: Umekosea jukwaa kabisaaaaa Pili hujaweka nyama ya kutosha.. Inamalizika kuwaka ukianza kuangalia ndio inazima au haifiki huko Click to expand... reyzzap said: Umekosea jukwaa kabisaaaaa Pili hujaweka nyama ya kutosha.. Inamalizika kuwaka ukianza kuangalia ndio inazima au haifiki huko Click to expand... Wewe kama ni fundi utaelewa kama sio fundi potezea
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 22, 2023 #5 Ngoja waje kukupa muongozo...