Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Nimeongea na fundi uchomeleaji ambapo tumekubaliana material yoote nitanunua na umeme juu yangu kwani kazi itafanyikia nyumbani kwangu. Anitengenezee mlango wa Gate la frame ya biashara lenye mlango wa kujikuja la upana wa mita 2.5 (foot 7.5). Sasa kanikomalia bei ya ufundi laki 2 (200,000) tumeshindwana? Kama kuna fundi welding maeneo ya mbezi ya kimara anaweza kufanyakazi hii chini ya laki mbili njoo pm na bei yako