Mafundi ujenzi, nini maana ya kuziba eneo la ujenzi kwa mabati?

Mafundi ujenzi, nini maana ya kuziba eneo la ujenzi kwa mabati?

sam98

New Member
Joined
Feb 15, 2023
Posts
3
Reaction score
2
Nimeona mara nyingi mafundi wanapoanza kujenga ghorofa au kituo Cha mafula (Shelli) wanatanguliza kuziba na mabati kwani wanakuwa na maana Gani wadau?

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Kwangu mimi nahisi sababu ya usalama watu waaipate kuingia kirahisi au wezi wasiingie kirahisi wakaiba ila tungoje saidia fundi atoe malezo
 
Hizo ni requirements za ujenzi kimataifa
1. Kulinda mazingira jirani kunakoweza kusababishwa na masalia ya materials ya ujenzi

2. Kulinda rasilimali zinazotumika kwenye ujenzi

3. Kulinda usalama wa wapita njia
4. Kuzuia kuonekana kwa shughuli zinaendelea dhidi ya watu wenye husda na wachawi
 
Hiyo ya mwisho futa, ni yako tu?!?
 
Back
Top Bottom