Hiyo ya mwisho futa, ni yako tu?!?Hizo ni requirements za ujenzi kimataifa
1. Kulinda mazingira jirani kunakoweza kusababishwa na masalia ya materials ya ujenzi
2. Kulinda rasilimali zinazotumika kwenye ujenzi
3. Kulinda usalama wa wapita njia
4. Kuzuia kuonekana kwa shughuli zinaendelea dhidi ya watu wenye husda na wachawi
Basi ongezea "Kuficha utaalamu/ufundi unaotumika kwenye ujenzi husika".Hiyo ya mwisho futa, ni yako tu?!?
Hivyo hivyo mzeeBasi ongezea "Kuficha utaalamu/ufundi unatumika kwenye ujenzi husika".