Mafundi ujenzi wanahitajika

Mafundi ujenzi wanahitajika

Melancholic

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
3,076
Reaction score
5,483
Nahitaji Mafundi Wa Kufanya Skimming, Kupiga Rangi, kuweka Tiles, Na Gypasum Decoration Kufanya Finishing, Kutengeneza Madirisha Ya Vioo Na Almunium, Kupiga Patition Note: Wawe Dar
 
Nkuunganishe na mmoja yupo goba
 
Nahitaji Mafundi Wa Kufanya Skimming, Kupiga Rangi, kuweka Tiles, Na Gypasum Decoration Kufanya Finishing, Kutengeneza Madirisha Ya Vioo Na Almunium, Kupiga Patition Note: Wawe Dar

Nashauri ungeweka mawasiliano yako ili iwe rahisi watu kuwasiliana nawe kiongozi...!

Kila la heri.
 
Mafundi wangapi nikupe namba ya fundi wangu au ushapata,eneo la kazi ni wapi
 
Ingekuwa vyema uweke na namba yako ya simu ili kurahisisha Mawasiliano mkuu
 
Gypsum decorations and designs pamoja Finishing unicheki kwa namba 0629026431
 
Back
Top Bottom