Mafundi umeme njoeni tupeane michongo na changamoto zetu

Mafundi umeme njoeni tupeane michongo na changamoto zetu

realnumber

Member
Joined
Dec 30, 2019
Posts
12
Reaction score
5
Habari,
Kama title inavyojieleza,

Je? Nichangamoto zipi unakutana nazo katika harakati zako za ufundi.
Mimi nakumbuka nilikuwa nafanya kazi shirika moja kabla ya kuacha nilikuwa nalipwa 2k kwa mwezi.
 
Mi nakumbuka nilipanda darini kufuatilia shoti ile na fungua ule mfuniko kwenye ciling board tuu pembeni nikakuta nyoka na mtu kama taahira fulani mle darini mi nikashuka nikaenda kununua maji uongo nduki na beg na ngazi niliacha mle ndani
 
[Ungewambia wakupishe Mkuu hao jamaa ndio wanaomuweka boss mjini
 
Changamoto niliyokutana nayo, Kuna mzee alikuwa anahitaji kuweka AC kwake lakini main switch ni ya kizamani na imeshachoka, nilipomwambia kuwa inabidi tubadili main switch alizingua sana, mpaka nilipompigia mahesabu ya current ndipo baadae akanikubalia na kubadili. Kazi nyingine hizi!!

Sent using Infinix S3
 
Habari,
Kama title inavyojieleza,

Je? Nichangamoto zipi unakutana nazo katika harakati zako za ufundi.
Mimi nakumbuka nilikuwa nafanya kazi shirika moja kabla ya kuacha nilikuwa nalipwa 2k kwa mwezi.

Sijaelewa hapa 2k.

Changamoto ziko nyingi sana. Mojawapo ni wateja wetu kutuchukulia poa sana,yaani unakuta mteja unamtatulia tatizo kisha unampa bei anakwambia "Yaani kubadikisha wire tu kutoka hapa mpaka pale,unadai laki moja ?" . Sasa unajiuliza kama ni kazi rahisi kwanini asingeifanya mwenyewe ? Kutokuweza kwake kutatua tatizo ndio ugume wake ulipo.
 
Back
Top Bottom