Mafundi umeme wa gari, seat ya gari langu haisogei mbele

Ushirombo

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
3,558
Reaction score
2,702
Wakuu habarini,

Nina gari ambayo seat orientions zake ni za umeme, sasa asubuhi niliisogeza sana mbele naijaribu sasa hivi hairudi nyuma.

Kwa wenye uelewa naomba msaada nifanye nini au kama fundi yupo nimuone asubuhi kesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vizuri ili uweze kupata msaada mzuri wa gari yako ukawa unatoa taarifa kamili na sahihi kwanza za gari yako na hii iwe kwa wana jf wote tuwe na tabia hiyo maana ili uweze kupata msaada lazima mtu aelewe anakushauri vipi kwa gari gani??.inawezekana solution ya gari yako ipo mikononi mwako mwenyewe kuna aina flan ya gari unakuta hilo ndio tatizo lake kuu au solution yake inafahamika haihitaji matengenezo makubwa zaidi ya kureset n.k sasa unavyosema gari yako ipi aina gani nani anaifaham vile vile hapa watu wanaingia na kutoka wakati kaingia anakutana na habari kipisi/kipande au haijajitosheleza anashindwa akusaidiaje..
 
Bila shaka itakuwa ni Ford Range ameinunua kwa Kidukulilo. Maana kuna wakati Kidukulilo alitangaza kuiuza Ford Ranger yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom