Ni vizuri ili uweze kupata msaada mzuri wa gari yako ukawa unatoa taarifa kamili na sahihi kwanza za gari yako na hii iwe kwa wana jf wote tuwe na tabia hiyo maana ili uweze kupata msaada lazima mtu aelewe anakushauri vipi kwa gari gani??.inawezekana solution ya gari yako ipo mikononi mwako mwenyewe kuna aina flan ya gari unakuta hilo ndio tatizo lake kuu au solution yake inafahamika haihitaji matengenezo makubwa zaidi ya kureset n.k sasa unavyosema gari yako ipi aina gani nani anaifaham vile vile hapa watu wanaingia na kutoka wakati kaingia anakutana na habari kipisi/kipande au haijajitosheleza anashindwa akusaidiaje..