Tanki
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 538
- 246
Nina Altonator ya gari. Kwenye hii Altonator Kuna haya maandishi. NISANI 23100 70N 12 V.
Sasa, Nikaichukua Altonator Kisha nikafunga waya kutoka Kwenye bolt na Kisha nikafunga waya kutoka Kwenye body ya Altonator. Kisha ule waya wa bolt nikafunga Kwenye terminal ya chanya ya betri. Then ule wa body nikaufunga Kwenye terminal ya hasi. ( Ila hii betri ni betri ya pikipiki.
Then nikafunga mota Kisha nikaiunga na Altonator. So, hii mota inazunguka na kwa vile nimeiunga na Altonator hivyo mota ikizunguka inazungusha Altonator. So, nilidhani kwa kufanya hivi hii Altonator ingekuwa inaichaji hii betri. Ila HAIFANYI HIVYO. Je shida ninini?. Au nakosea wapi?.
Plan yangu ni kwamba, nataka betri iwe inachajiwa na Altonator then nifunge inverter Kisha niutumie huu umeme.
Nakosea wapi?, Au je kipi nifanye?, Au nakosea kuunganisha?. Msaada wakuu