DOKEZO Mafundi wa DAWASA wanachepusha maji maeneo ya Kimara Temboni

DOKEZO Mafundi wa DAWASA wanachepusha maji maeneo ya Kimara Temboni

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
Kumekua na tatizo la maji kwa zaidi ya wiki sasa maeneo ya Kimara Temboni kwa Msuguri.

Taarifa zilizopo ni kuwa kumekuwa na tabia chafu ya watumishi wa DAWASA kuchepusha maji kwa nia ya kufanya biashara na kujiingizia kipato.

Shida ya maji imejitokeza tena kipindi hiki ambapo eneo kubwa la Temboni mpaka Saranga na baadhi ya eneo la kwa Msuguli.

Kwa sasa mambo yako bora liende kutokana na mamlaka kutofuatilia huduma hizi za kijamii na kujali bill za mwisho wa mwezi hata kama huduma haipatikani.
 
Back
Top Bottom