Mafundi wa kuchomelea (Welders),wanahitajika

Mafundi wa kuchomelea (Welders),wanahitajika

Transistor

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,061
Reaction score
1,637
ProductMarketingAdMaker_18102024_191413.png


Kazi masaa 8 kwa siku, malipo 25,000/- kwa siku

ZINGATIA
*Uwe smart katika kazi
*Unaezingatia vipimo katika kukata na kuunda sababu vifaa tuvyounda hata mm 1 ikikosewa inaweza kipelekea hasara kubwa.
 
Wanakuja sasa si muajiri na wakataji ili kuepusha hayo yote anaedisign na kukata tu na anaechomelea tu
 
Elfu 25 kwa siku halafu mnataka ma expert...maexpert wengi wa hizi kazi wamejiajiri wanaingiza hela nyingi kuliko hiyo, ukimpata ujue anashida mambo yakikaa vizuri wanakukimbia..
 
Watakuja na mtawapata tu, ijapokuwa Kwa mtu expert wa viwango hiyo ni pesa ndogo mnoooo, hivyo basi akija kijana muangalieni kama anaweza kazi mpeni, experts wa level za juu wengi wana ofisi zao.
 
Back
Top Bottom