Mafundi wa kuchomelea (Welders),wanahitajika

Wanakuja sasa si muajiri na wakataji ili kuepusha hayo yote anaedisign na kukata tu na anaechomelea tu
 
Elfu 25 kwa siku halafu mnataka ma expert...maexpert wengi wa hizi kazi wamejiajiri wanaingiza hela nyingi kuliko hiyo, ukimpata ujue anashida mambo yakikaa vizuri wanakukimbia..
 
Watakuja na mtawapata tu, ijapokuwa Kwa mtu expert wa viwango hiyo ni pesa ndogo mnoooo, hivyo basi akija kijana muangalieni kama anaweza kazi mpeni, experts wa level za juu wengi wana ofisi zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…