Mafundi wa kujenga nyumba nipeni ushauri hapa

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
2,204
Reaction score
2,085
Mafundi wa nyumba nadhani mpo poa ndugu zangu.

Nina swali muhimu kwenu nalo hili:
Kama kujenga msingi wangu natumia tofari za block 1145, je nikitumia mawe nitatumia mawe kiasi gani?
 
Fundi wako anakadiriaje?

Tofali inch 5" = ukubwa wa tofali kwa mm + mota =152x482x229=16,777,456mm tofali moja la kulaza.
Ujazo wa matofali yote (16,777,456cumm)=0.016777456 cu mtr x 1145 = 19.2 cu mtrs
Ujazo wa Tipper za fuso ni wastani 4 cu mtrs ni sawa tipper 5 za mawe

Hivyo basi matofali ya 5" yaliyolazwa kujenga msingi kwa upana huo huo wa msingi utahitaji tipper 5 (zenye 4 cu m @ moja)

TAHADHALI MIMI SIO FUNDI NI hesabu ya darasa la saba tu

Kumbuka mawe yanatupwa hovyo hovyo yanaweza kuzidi kdg
 
Mkuu shukrani sanaa aise, umenisaidia sana

Back
Top Bottom