EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
Mafundi wa nyumba nadhani mpo poa ndugu zangu.
Nina swali muhimu kwenu nalo hili:
Kama kujenga msingi wangu natumia tofari za block 1145, je nikitumia mawe nitatumia mawe kiasi gani?
Sina fundi mwenyewe nahitaji kuelewa ili niwe fundi, sina utaalamu kwenye upande wa mawe.Fundi wako anakadiriaje?
Kuna jinsi mafundi wanavyo kadiria, mkuu, kwa hiyo hesabu kuna fundi tayari anajibu ngoja tusibiriSasa mkuu unaulizaje swali la kijinga hivyo mawe hayana size
Tofali inch 5" = ukubwa wa tofali kwa mm + mota =152x482x229=16,777,456mm tofali moja la kulaza.Mafundi wa nyumba nadhani mpo poa ndugu zangu.
Nina swali muhimu kwenu nalo hili:
Kama kujenga msingi wangu natumia tofari za block 1145, je nikitumia mawe nitatumia mawe kiasi gani?
Tofali inch 5" = ukubwa wa tofali kwa mm + mota =152x482x229=16,777,456mm tofali moja la kulaza.
Ujazo wa matofali yote (16,777,456cumm)=0.016777456 cu mtr x 1145 = 19.2 cu mtrs
Ujazo wa Tipper za fuso ni wastani 4 cu mtrs ni sawa tipper 5 za mawe
Hivyo basi matofali ya 5" yaliyolazwa kujenga msingi kwa upana huo huo wa msingi utahitaji tipper 5 (zenye 4 cu m @ moja)
TAHADHALI MIMI SIO FUNDI NI hesabu ya darasa la saba tu
Kumbuka mawe yanatupwa hovyo hovyo yanaweza kuzidi kdg