Mafundi wa kupiga nyumba plaster (lipu)

Mafundi wa kupiga nyumba plaster (lipu)

mambo_safi

Senior Member
Joined
Jul 22, 2019
Posts
176
Reaction score
440
Nataka kupiga nyumba plaster (kwa nje tu) lakini sijui bei gani? Mchanga wa kutosha nyumba nzima hupo na simenti mifuko 12 (yaani 3 kila upande) hipo. Sasa mimi hela yangu ya kuungaunga. Mafundi mtanifanyia bei gani kwa mifuko hiyo 12 ya cement. Mimi Niko Dar
 
Back
Top Bottom