Mafundi wakutohoa, si wa sindano kutona,
nguo ukizitonoa, kusema atazishona,
na zile lozichojoa, kiraka atakiona,
Tegua
Siache lozipasua, kidhani hazitapona,
hata ulozitatua, na nyuzi zikaachana,
Timilifu zitakua, kwake ukzikusanya.
Haya toeni maana ya hiyo misamiati....
kutonoa, kutatua, kuchana, kupasua kuchojoa......... kama itumikavyo ktk nguo