Baraka sheni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 471
- 197
nikweli mkuu nashukuru sana.Ahsante mtaalam,sie wengine tupo Japan!Utakuwa msaada mkubwa kwa wale wenye ya ulaya!
hapana mkuu hiyo sinaNatafuta control box ya ford ranger pick up ya 2011. Ikiwa mbovu fresh kuna spare nahitaji sanaaaa.vipi nitapata ford yenyewe ni kama zile za cocacola
hiyo subaru inatatizo gani mkuu au nayo unahitaji kuprogram funguo?Sijaelewa kuprogram funguo na vp kuhusu subaru
Program ya funguo ikoje?hiyo subaru inatatizo gani mkuu au nayo unahitaji kuprogram funguo?
ipo mkuu ila hiyo funguo yako ilipotea au imeharibika?
ndio mkuu karibu ofisini mwenge karibu na ofisi za TRA au nipigie kwa maelezo zaidi 0657623266Nimepoteza funguo ya hundai, mnaweza kunichongea?
Kuna baadhi ya magari ambazo funguo zake zina sensor ndani. Hivyo ili kuwasha gari lazima hiyo funguo iwe sawa na switch na iwapo utachonga funguo mtaani utaweza kufungulia milango kwa baadhi ya magari ila siyo kuwashia gari. Magari mengi yaliyotengenezwa ulaya yanatumia hizo funguo kuepusha wizi
Je hakuna njia ya kuprogram tv channel ziwezekushika kwenye gari hapa Tanzania?