ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
Nissan aina gani?Habari,
Kuna jamaa yangu ana Nissan new model t31 inampasua kichwa. Vitu vingine vyote viko poa ila kuna mlio wa kugonga unatokea nyuma akipita kwenye rough road ambao. Yani inakita kwa sauti sana esp kwenye barabara yenye mawe.
Kaipeleka kwa mafundi matatu ambao walimfanya abadili shock up mara mbili lakini hamna kitu. Spring iko poa, stabilizer bush ya rear swaybar kabadili na fundi anamwambia mounting ya difu ya nyuma iko poa pia.
Msaada tutani
Nissan Xtrail T31 modelNissan aina gani?
Tabata ipi? Gereji inaitwaje?Mwambie apeleke kwa mchina tabata
Hlo ni tatzo la miguu imelegea mwambie akachek tyrod endTabata ipi? Gereji inaitwaje?
Sina kumbukumbu gari miguu ya nyumba huwa ina tyrod endHlo ni tatzo la miguu imelegea mwambie akachek tyrod end
0652588888Tabata ipi? Gereji inaitwaje?
Huko kote alikopeleka gari hamna mafundi....hao ni wababaishaji....fundi gani anakununulisha maspea mengi hivyo na tatizo haliishi...Duuh nilikuwa na mpango wa kumiliki aina hii ya gari ila moyo wangu ushaanza kughairi.
Tafuta Toyota nduguuDuuh nilikuwa na mpango wa kumiliki aina hii ya gari ila moyo wangu ushaanza kughairi.
Habari,
Kuna jamaa yangu ana Nissan Xtrail new model t31 inampasua kichwa. Vitu vingine vyote viko poa ila kuna mlio wa kugonga unatokea nyuma akipita kwenye rough road ambao yani inakita kwa sauti sana esp kwenye barabara yenye mawe.
Kaipeleka kwa mafundi watatu ambao walimfanya abadili shock up za nyuma mara mbili lakini hamna kitu. Spring iko poa, stabilizer bush za rear swaybar kabadili na fundi anamwambia mounting/bush ya difu ya nyuma iko poa pia.
Msaada tutani
Sina kumbukumbu gari miguu ya nyumba huwa ina tyrod end