It's simple like that, kama pikipiki yako ina speed 150, nunua engine nyingine ya GSM ifunge pembeni ya hiyo nyingine, ukichukua speed ya engine ya kwanza ukijumlisha na engine ya pili utapata speed 300, So itakuwa inakimbia
(60kp/h/2hell)....
Kila la heri kiongozi...