Mafundi wazuri wa magari

Matukutuku

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
269
Reaction score
126
Wakuu naulizia gereji nzuri kwa ajili ya kuangalia vitu kama bush kwenye matairi, suspensions, ball joints, CV Joints, boots, shock absorbers, yaani kwa ujumla ile system yote ya chini inayoshikilia matairi na steering system kwa Dar es Salaaam.

Nimekuwa nikichek wheel alignment kila wakati lakin matairi bado yanaendelea kulika kwa ndani hvyo nahisi kuna vitu kama nilivyovitaja hapi juu vimekufa.

Kwa hiyo naulizia garage kwa Dar ambayo ina wataalam wazuri wa kucheki vitu kama hivi.

Natanguliza Shukrani wakuu.
 
Njoo airport njia Ya kuingia BAM utapata mafundi wazuri na spare parts nzuri na kwa bei nzuri saana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…