Kalamu Nzito
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 376
- 850
Nadhani mleta mada ameleta mambo ambayo yanafundishwa makanisani na hayana msingi kwenye Biblia.Kuna mahali kwenye Biblia umeambiwa Ukienda chooni kunya uchuchumae? Au Ukiamka asubuhi upige mswaki? Au mchungaji/Padre avae Joho/kanzu? Nani kakufundisha hayo?
Biblia ni muongozo wa maisha ya kiroho unaoimarisha uhusiano wa mwanadamu na Mungu. Kunya, kupiga mswaki, kuvaa joho je hayo ni sehemu ya maisha ya kiroho katika kujenga uhusiano na Mungu?Kuna mahali kwenye Biblia umeambiwa Ukienda chooni kunya uchuchumae? Au Ukiamka asubuhi upige mswaki? Au mchungaji/Padre avae Joho/kanzu? Nani kakufundisha hayo?
Unaposema hayana msingi kwenye Biblia una maana gani? Unadhani kila kifanywacho katika Ukristu lazima kiwe na msingi kibiblia? Biblia ni summary na muongozo wa maisha ya kikristu na laiti kama yangeandikwa yote hakika vitabu vya ulimwengu visingetosha, Kuna Injili nyingi mpaka Injili ya Barnaba ipo. Ndiyo maana kuna kitu kinaitwa "Mapokeo" ambapo tunafundishwa kulingana na uhalisia na maisha yalivyokuwa na tunavyopaswa kuishi, Nimekutolea mfano, Wapi Kwenye Biblia imeandikwa padre/mchungaji avae joho? Kwa hiyo haina uhalali wala msingi kibiblia na hawatakiwi kufanya hivyo? Watakatifu wapo na Daima wanatuombea kwa Mungu.Nadhani mleta mada ameleta mambo ambayo yanafundishwa makanisani na hayana msingi kwenye Biblia.
Sasa wewe mambo ya kunya umeyatoa wapi? Au kanisani kwenu mnafundishwa kwenda kunya?
Bahati mbaya Sana mkuu umenijibu maelezo marefu Sana wakati siamini kama Biblia ni kitabu aliandika Mungu.Unaposema hayana msingi kwenye Biblia una maana gani? Unadhani kila kifanywacho katika Ukristu lazima kiwe na msingi kibiblia? Biblia ni summary na muongozo wa maisha ya kikristu na laiti kama yangeandikwa yote hakika vitabu vya ulimwengu visingetosha, Kuna Injili nyingi mpaka Injili ya Barnaba ipo. Ndiyo maana kuna kitu kinaitwa "Mapokeo" ambapo tunafundishwa kulingana na uhalisia na maisha yalivyokuwa na tunavyopaswa kuishi, Nimekutolea mfano, Wapi Kwenye Biblia imeandikwa padre/mchungaji avae joho? Kwa hiyo haina uhalali wala msingi kibiblia na hawatakiwi kufanya hivyo? Watakatifu wapo na Daima wanatuombea kwa Mungu.
Sijui kama unajua unachokizungumza, unaposema mambo ya kiroho una maana gani? Hakika hapa ndipo ninapolikubali na kuliheshimu Kanisa Katoliki, Ukristu/Ukatoliki ni mfumo wa maisha kiujumla kimwili na kiroho katika kutimiza lengo la kufika mbinguni, Mambo ya kimwili na kiroho yote yanashabihiana, Ndiyo maana Ulevi, Uzinzi, Wizi nk. Yote yanafanyika katika mwili na kuacha alama katika roho, Kwahiyo Biblia sio tu mwongozo wa kiroho ni muongozo wa maisha ya mkristu, kila siku ya namna anavyopaswa kuenenda.Kula, Kulala,Kuamka,namna ya utoaji, namna ya kuomba nk. Yote ni sehemu ya maisha mbele ya Mungu, sasa wewe sijui una maana gani kujaribu kutofautisha.Biblia ni muongozo wa maisha ya kiroho unaoimarisha uhusiano wa mwanadamu na Mungu. Kunya, kupiga mswaki, kuvaa joho je hayo ni sehemu ya maisha ya kiroho katika kujenga uhusiano na Mungu?
Lakini tunapozungumzia namna ya kuomba, namna ya utoaji nk! Haya yote ni mambo ya kiroho na hakika utaratibu umeainishwa vyema kwenye maandiko.
BARIKIWA!