Habari za kazi wakuu.Tumeungana wajasiriamali watatu na kuanza kutoa mafunzo jinsi ya kuzima moto,zaidi tunalenga kuwafundisha watu jinsi ya kutumia mitungi ya kuzimia moto majumbani na tuinatoa ushauri pia kuhusu ni aina gani za mitungi ya kuzimia nmoto yafaa kwa matumizi.Tunajua kuwa watanznaia wengi hawan vifaa hivi majumbani kwao.Kwa hivyo nawakaribisha sana kwa mawasiliano.tumi9a email m66_60m@yahoo.co.uk.Gharama zetu ni nafuu sana.Ahsanteni9