Parachichi
JF-Expert Member
- Jul 22, 2008
- 510
- 102
Mkuu kama upo tz wasiliana na jeshi la police watakupa ushauri mzuri sana na unaweza kumpata dogs trainer akaja kwako mara moja kwa wiki au vinginevyo...Wakuu heshima mbele!nimepata kununua mbwa aina ya Germany Sherpher!ni mbwa wazuri ila kwa sasa nakwama jins ya kuwafundisha!nilikua naomba ushauri kwenu wakuu kwa yeyote mwenye uzoefu naomba anielekeze!umri wa mbwa ni miezi miwili na nusu.
Pia wakiwa na umri gani ndio wanatakiwa wapelekwe kwenye training?
Nawasilisha wakuu
mimi ninaitaji mbwa wenyewe una watoto mkuu niuzie
Akuuzie Watoto wake au watoto wa mbwa? Kwa sababu kasema amemnunua na ana umri wa miezi miwili na nusu...
Wakuu heshima mbele!nimepata kununua mbwa aina ya Germany Sherpher!ni mbwa wazuri ila kwa sasa nakwama jins ya kuwafundisha!nilikua naomba ushauri kwenu wakuu kwa yeyote mwenye uzoefu naomba anielekeze!umri wa mbwa ni miezi miwili na nusu.
Pia wakiwa na umri gani ndio wanatakiwa wapelekwe kwenye training?
Nawasilisha wakuu
watoto wa mbwa anielekeze aliko nunua na mm niende